repliche orologi replica uhren
News/Habari

KILIFI: MWARUBAINE WA MIZOZO YA ARDHI WAANZA KUCHIMBULIWA

Written by admin

Tume ya kitaifa ya ardhi imesema itatatua mizozo ya muda mrefu ya ardhi katika mpango tata wa makazi wa Chembe/Kibabamche katika kaunti ya Kilifi.

Haya yanajiri baada ya tume hiyo kutumia siku tano kupokea ushahidi kuhusu madai ya umiliki wa takriban vipande 104 vya ardhi ambavyo vinadaiwa na wamiliki tofauti na maskwota katika ukumbi wa kijamii wa Watamu katika eneo bunge la Kilifi Kaskazini.

Naibu mwenyekiti wa tume hiyo Gertrude Nguku alisema kuwa, baadhi ya maswala hayo ni dhulma za kijadi za ardhi huku akiongeza kuwa mnamo mwezi wa Septemba mwaka huu tume hiyo ilipokea zaidi ya madai 2,100 ya dhulma za kijadi za ardhi katika maeneo mbalimbali nchini ambapo tayari tume hiyo imeshughulikia visa mia sita.

Nguku alisema kuwa tume hiyo inashirikiana na idara ya mahakama kufanikisha mchakato huo.

Tume hiyo ilianza kuchunguza mizozo kuhusu mpango huo wa makazi mwaka wa 2015 na kufikia sasa mizozo 334 kati ya mizozo 440 imetatuliwa huku hati mbili za kumiliki ardhi zikifutiliwa mbali na kusalia mzozo wa vipande 104 vya ardhi ambao tume hiyo inaamini kuwa itatatuliwa hivi karibuni.

Wakazi wametoa wito kwa tume hiyo kuharakisha mchakato huo ili kuwawezesha kuendelea ni miradi yao ya maendeleo.

About the author

admin

Leave a Comment

nude pics of weman wrestler with a boner xxnx.vip latina on black porn videos pornos en familia, mom a d son porn how to download from pornhub xxxpor.win axel kane gay porn my hero academia porn comic, my hero academia porn kimberly delgado only fans wifeporn.win backroom casting couch jena sausage party sex scene