Idara ya upelelezi kwa ushurikiano na Polisi katika kaunti ya Kirinyaga, wameanzisha uchunguzi kumtafuta mama aliyeutupa mwili wa kitoto cha miezi saba kwenye njaa la takataka viungani mwa mji wa Kirinyaga.
Wapita njia ambao walikuwa
wanaelekea kazini alfajiri ndio walipata kijusi hicho na kuarifu maafisa wa
polisi.
Wakaazi wanasema kwamba hilo ni tukio la pili kufanyika pale
ndani ya kipindi cha miezi mitatu kwani hapo awali kuna mwili wa mtoto msichana
ambao ulipatikana ukiwa umetupwa papo hapo.
Chifu wa eneo hilo Justus Mwai alisema kwamba polisi wameanza oparesheni ya kumwinda aliyetekeleza kitendo hicho. Free streaming High School Musical https://clickmiamibeach.com/ online.
Mwili huo ulichukuliwa na polisi
kutoka kituo cha Kerugoya na kupelekwa katika mochari ya Kerugoya.
Leave a Comment