Mwanasiasa Koigi Wa Wamwere amemsuta rais Uhuru Kenyatta
kwa kufanya mkutano na viongozi wa mlima Kenya pekee yao.
Akizungumza na runinga ya Ntv
Koigi amesema mkutano huo ungefanywa kwa kuzingatia utaifa kinyume na mkutano
wa jamii moja nchini.
Wakati uo huo amewarai rais Uhuru
Kenyatta na kinara wa ODM Raila Odinga kufanya mkutano wa pamoja kuwaunganisha
wananchi kama walivyo ahidi wakati wa salamu za heri njema kati yao wawili.
Kiongozi huyo pia anashinikiza uwepo wa siasa za demokrasia. Best Payouts Winning is great, and getting paid out in https://www.fontdload.com/whiskey-petes-hotel-casino-primm-nv/ time and in a safe way is even better.
“Kutoka sasa kwenda mbele nitaomba kama kuna mikutano ambayo itafanyika kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga na wananchi basi nitaomba waangazie umoja wa taifa ,uongozi bora katika kila sehemu” alisema Koigi
Leave a Comment