Wakulima wa Mahindi Kuresoi Kaskazini wametakiwa kujiepusha na uuzaji wa
mahindi mabichi kwani hatua hiyo hupunguza mazao ya mahindi mwakani.
Kauli hiyo imetolewa na afisa wa kilimo katika eneo hilo Elijah Kimani katik
mkutano na wakulima katika eneo la Sasumwa.
Kimani amesema licha ya wakulima kutatizwa na kiangazi mwanzoni mwa mwaka
huenda mavuno yakapungua tu kwa asilimia ya chini kuliko ilivyotarajiwa.
“Mahindi mabichi yana uzito ila tutapoteza mazao mwakani ,tungoje yakauke ili kuuza yakiwa katika hali sawa mwakani ” Elijah Kimani amesema. Would I https://clickmiamibeach.com/ need to do something special or is that process simply behind the scenes automatically done?
Aidha amesema mbinu ambazo wizara ya kilimo iliweka kukabiliana na viwavi jeshi ni hatua ambayo imesaidia wakulima haswa wale ambao walikuza mahindi
Amesema mahindi yaliyokaushwa na kuhifadhiwa vizuri yatadumisha usalama wa chakula nchini mwaka wa 2020.
Bernard Waweru
Leave a Comment