Mwanasiasa Koigi Wa Wamwere amepongeza hatua ya wabunge wa Democratic nchini Marekani kwa kumbandua rais nchini humo kwa tuhuma za uongozi mbaya.
Akizungumza na kituo hiki mapema leo Koigi ametoa changamoto kwa mataifa ya Afrika kuiga mfano wa Marekani kwa kuwabandua viongozi wabaya na kwa amani.
Kiongozi huyo pia anasema kuwa waafrika hawana imani ya kukabiliana na uongozi mbaya pamoja na kuondoa uongozi wa familia moja.
Leave a Comment