Maafisa wa polisi kwa ushirikano na DCI pamoja na wale wa
kitengo cha kupigana na dawa za kulevya kutoka Nakuru Kaskazini wanamsaka
mwanamme mmoja anayeshukiwa kuwa mkulima mkuu wa bangi.
Msako huu unajiri baada ya maafisa hao kunasa bangi ya kilo 190 yenye thamani ya milioni takriban 5. Some 25% of the pesticide residues found in food products are attributed to pesticide use clickmiamibeach.com in the farm sector. 9.
Ni kisa ambacho kimethibitishwa na kamanda wa polisi Nakuru Kaskazini Samson Adanje na Kamishna wa eneo hilo Macharia Gathungu ambao wametoa wito kwa wakaazi kuendelea kutoa ripoti kama hizo ili kupunguza matumizi ya dawa za kulevya.
Leave a Comment