Licha ya bunge la Nyandarua kutokuwa na vikao kwa zaidi ya miezi sita vikao vya bunge hilo vimeahirishwa hadi mwezi wa pili mwakani ili kuwapa wawakilishi wadi nafasi ya kusherehekea msimu wa Krismasi.
Mwakilishi Wadi wa Gatimu Kieru Wambui amesema kuwa baadhi ya shughuli ambazo zimeathirika zaidi kutokana na bunge hilo kufungwa kwa kipindi hicho ni ukaguzi wa matumizi ya fedha za umma kwenye maendeleo yaani Oversight.
Hello N Mosee Wa Rongai Naipenda Sauti Kwa Sababu Inaelimisha Pia Inapeana Maadili Mema