repliche orologi replica uhren
News/Habari

NYERI: KUTU YASHUSHA UTU

Written by admin

Hali ya majonzi ilitanda katika kijiji cha Mutonga eneo la Mukurweini, Nyeri baada ya mwili wa msichana wa miaka 13 kupatikana ukiwa umetupwa ndani ya mto Rwarai.

Margret Waithera ambaye alikuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya upili ya Ngamwa aliripotiwa kutoweka  wiki takriban tatu zilizopita.

Familia ya marehemu imekuwa ikimtafuta tangu atoweke bila mafanikio  na ndoto yao ya kupatanishwa tena na binti wao ilikatizwa baada yake kupatikana akiwa marehemu.

Inaripotiwa kuwa mwili wa marehemu ulipatikana na wavuvi ukiwa umefungwa kwa gunia. 

Mwili wa msichana huyo uliashiria dalili kuwa alikuwa amebakwa kabla ya kuuawa na watu wasiojulikana.

Upelelezi zaidi kuhusiana na kisa hicho umeng’oa nanga huku familia ya marehemu ikianza mipango ya kumzika mpendwa wao.

About the author

admin

Leave a Comment

nude pics of weman wrestler with a boner xxnx.vip latina on black porn videos pornos en familia, mom a d son porn how to download from pornhub xxxpor.win axel kane gay porn my hero academia porn comic, my hero academia porn kimberly delgado only fans wifeporn.win backroom casting couch jena sausage party sex scene