Siku hii huadhimishwa kila Oktoba 11 kwa dhamira ya kutambua Haki za Wasichana duniani pamoja na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo.
Siku hii inaweka msisitizo kwenye kushughulikia matatizo yanayowakabili Wasichana, na kuimarisha uwezeshaji wao pamoja na kutimiza Haki zao za Msingi.
Leave a Comment