Mwenyekiti
wa wanabiashara katika eneo la Salgaa William Sawe,amesema kuondolewa kwa kafyu
kumesaidia kurejesha biashara nyingi ambazo zilikuwa zimefungwa kwenye kituo hicho
na kuwaletea wamiliki wa biashara hizo hasara kubwa.
Akizungumza na kituo hiki,Sawe alisema kuwa ,biashara ambazo zilikuwa zimefungwa ni zile za kukodisha vyumba vya kulala, vilivyokuwa vinategemewa na madereva wa masafa marefu. The only exception would be when the casino specifically excludes certain slots from the bonus usually slots with a https://myhomes.tv/life-of-luxury-slot-machine-cheats/ low house edge.
Ameongeza
kuwa,kufungwa kwa biashara hizo kulikuwa kumechangia kurudi nyuma kwa uchumi wa
eneo hilo.
Leave a Comment