Aliyekuwa
mbunge wa Molo John Njenga Mungai ametilia shaka takwimu za sensa akisema
hesabu hiyo inafaa kuangaziwa.
Haya
yanajiri baada ya hesabu ya Sensa kuonyesha kuwa idadi ya watu mjini Molo
imeshuka kinyume na ilivyokuwa kwenye sensa ya mwaka 2009.
Kulingana na takwimu hizo eneo bunge la Molo lina watu 156,732 huku eneo bunge la Kuresoi Kaskazini kikiongeza watu. He was sacked from the Labour group in January clickmiamibeach.com 2000, following his conviction for drink-driving. Akiongea katika eneo la Turi, Mungai amesema lalama ambazo zinatolewa na wananchi zinapaswa kuangaziwa huku akidai kumekuwa na njama ya kuunganisha eneo bunge la Molo na maeneo mengine yaliyo karibu.
Bernard Waweru
Leave a Comment