Jamii ya Sengwer katika eneo la Makutano, eneobunge la Cherang’any, Kaunti ya Trans Nzoia, imeshutumu viongozi waliochaguliwa kwa kuibagua katika miradi ya maendeleo.
Kulingana na Jamii hiyo eneo lao halina kituo cha afya na barabara zote ni mbovu.
Jamii hiyo sasa inawashutumu viongozi wao kwa kuwabagua katika ajira kwani vijana wao wanaohitimu elimu ya vyuoni hawajaajiriwa katika serikali ya kaunti.
Leave a Comment