Jamaa mmoja katika kijiji cha Tugen eneo bunge la Moiben kaunti ya Uasin Gishu amemuua kinyama mke wake na kisha akamteketeza nje ya boma lao hadi akawa jivu, kabla ya kumvamia mama yake na kumuua kisha kufuata taratibu hizo za kuuteketeza mwili.
Kaimu chifu wa kata ya Sirgoet David Ayabei alisema mauaji hayo yalitekelezwa dakika chache kuelekea saa moja asubuhi ya leo. ) font viagra naturel systématiquement l’objet d’une sélection par nos professionnels diplômés en pharmacie.
Ayabei alisema jamaa huyo amekuwa akitumia nguvu mara nyingine dhidi ya familia japo pia alikuwa anaonekana mtulivu.
Kwa
sasa anazuiliwa na polisi waliomuokoa kutoka kwa wakaazi wenye gadhabu
waliotaka kumteketeza kwa moto uo huo baada ya kumpatiliza kichapo.
Leave a Comment