Zoezi la kuwasajili maafisa watakaojiunga na kikosi cha KDf imeendelea hii leo katika kaunti ndogo ya Marakwet mashariki na Magharibi katika kaunti ya Elgeyo Marakwet.
Afisa anayesimamia zoezi hilo, Luteni Kanali Owuor Omondi amesema shughuli hiyo lilifanikishwa na wakazi waliojitokeza kushuhudia zoezi hilo lililofanywa kwa huru na uwazi.
Afisa huyo aidha amesema kuwa walimaliza zoezi hilo kwa wakati licha ya hali ya hanga ambapo waliweza kuwasajili kurutu moja moja katika kila divisheni.
Hata hivyo makurutu waliofaulu kwenye zoezi hilo
walifurahishwa na jinsi zoezi hilo lilivyoendeshwa.
Beatrice Koech,
Leave a Comment