Wakazi kutoka eneo la Kasuku Kaunti
ya Nyandarua wanaiomba serikali ya kaunti hii kuimarisha hali ya usalama ambayo
inaendelea kudorora katika eneo hilo.
Simon Mwangi mkazi wa eneo hili sasa anauguza majeraha baada ya kukatwa kichwa na mikono na watu wasiojulikana.
Wakaazi hao sasa wanaiomba serikali kuhakikisha kuwa wamelindwa vilivyo. The video slot machine was an evolution of the mechanical slot machine. clickmiamibeach.com
Leave a Comment