mwakilishi wa wadi ya menengai magaribi Simon Mwangi,amewataka vijana kuchukua jukumu la kujitokeza kwenye mikutano ya kupendekeza miradi inayofaa kutekelezwa na serikali ya kaunti ya nakuru,ilikuorodhesha miradi itakayo kuwa ya manufaa kwao.
Mwangi ametaja kwamba,vijana mara kwa mara hukosa kujitokeza kwenye mikutano hii,jambo ambalo huwapelekea kuwachwa nje wakati wa ugavi wa fedha za miradi.
Kulinga naye ukosefu wa ajira ni moja kati ya changamoto ambazo zinakumba vijana wengi haswa kutoka rongai na kuanzisha miradi kupitia usaidizi wa serikali ya kaunti, kutasaidia kuwapa uwezo wa kujikimu kimaisha.
Leave a Comment