Wananchi kutoka sehemu mbalimbali eneobunge la ndogo ya Rongai kuanti ya Nakuru, wamekumbatia uamuzi wa tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC ambayo imeratibu uchaguzi wa ubunge katika eneo bunge hilo kufanyika Jumatatu Ijayo tarehe 29.
Kulingana na wakaazi wa Rongai waliozungumza nasi tume hiyo inafaa kuhakikisha uchaguzi huu umefanyika kwa njia huru na haki bila tatizo lolote.
Wanasema kukamilika kwa uchaguzi huo kutawawezesha wananchi kuendelea na shughuli zao za kawaida.
Leave a Comment