Wakazi wa eneo la Kariamu kule Olkalaou wanaeleza kukerwa na hali mbovu ya vyoo vya umma ambavyo vimetelekezwa kwa muda sasa, wakisema watumizi wa vyoo hivyo wamo hatarini ya kupata maradhi yatokanayo na uchafu.
Wakazi hawa pia wamesema kuwa ukusanyaji taka katika eneo hilo huwa hautekelezwi inavyopaswa jambo ambalo limewaacha na mazingira machafu kupindukia.
Leave a Comment