Watu wanaoishi na changamoto za
kimaumbile kwenye kaunti ya Nakuru wameisuta serikali ya
kaunti hiyo kwa kwa kufeli kuwapa asilimia tano ya ajira kulingana
na katiba .
Wakiongozwa na George Otieno
kutoka eneo bunge la Nakuru Mashariki wanasema kuna haja ya serikali
ya jimbo kutambua uwepo wao ili nao waweze kuwajibikia majukumu yao
kifamilia ilivyo kwa wengine wasio na ulemavu.
Ni kauli inaojiri baada ya katibu katika muungano wa umoja wa mataifa UN AntonioGuteres kuomba kuhusishwa kwa walio na changamoto za kimaumbile katika juhudi za kuafikia malengo ya 2030. Our Online Casino section offers you a wide range of Casino Games like; Live Roulette, Live Blackjack, Live Casino Games, Casino Games like Keno, Poker Games, Lottery https://casinodulacleamy.com/ Games, Scratch Cards, Slots Games, Video Poker and Bingo Games.
Leave a Comment