Mbunge wa Kuresoi Kusini Joseph Tonui amemtaka waziri wa mazingira Keriako Tobiko kuratibu mipango ya kuwapa fidia wananchi ambao walitolewa msitu mau huku wakiwa na hatimiliki za mashamba
Tonui akiongea katika hafla moja kule Olenguruone amesema serikali inapaswa kukabiliana na watu ambao waliuzia wananchi ardhi ya msitu kinyume cha sheria
Amesema wakati huu ambapo mvua imekuwa ikinyesha kwa wingi mamia ya wananchi hao wanaendelea kuhangaika bila makao na matumizi mengine ya kimsingi
Leave a Comment