Skip to content

Sauti ya Mwananchi Fm

WAKAAZI WAMLAUMU MZEE,79, KWA UCHAWI NA KUTEKETEZA NYUMBA ZAKE 6

News/Habari

Wakazi wenye hasira katika kijiji cha Rachong eneo bunge la Ndhiwa wameteketeza nyumba sita za mshukiwa mmoja wa ushirikina. Kulingana na wakazi hao,mshukiwa Gabriel Osaso, 79 amemfuga mamba anayesemekana kuwahangaisha watu wanaovuka mto kuja. Haya yanajiri baada ya mamba huyo kusemekana kumwangamiza msichana wa darasa la kwanza alipokuwa njiani kuelekea shuleni siku ya Ijumaa. Juhudi […]

05/04/2019 / 0 Comments
read more

“SIJAJIUZULU”:GAVANA TOLGOS

News/Habari

Gavana wa kaunti ya Elgeyo Marakwet Alex Tolgos amefutilia mbali habari inayoenezwa kwenye  mitandao ya kijamii kuwa amejiuzulu. Kulingana na taarifa aliyotoa kwa vyombo vya habari gavana Tolgos amewahakikishia wakazi wa kaunti hiyo kuwa hajachukua hatua kama hiyo, huku juhudi zikiendelea kumsaka aliyeandika barua  hiyo kwa spika wa bunge la kaunti hiyo Philemon Sabulei. Barua […]

05/04/2019 / 0 Comments
read more

KANU YATAKA POLISI KUTIA JUHUDI KUMSAKA BILLIAN

News/Habari

Chama cha Kanu sasa kimetoa changamoto kwa maafisa wa usalama kumsaka aliko kiongozi wa vijana wa cha hicho Billian Ojiwa aliyetoweka Jumapili jioni. Kulingana na mkewe Nerima Wako, juhudi za kumfikia Ojiwa zimekuwa zikiambulia patupu kwani hapatikani kwa simu. Kupotea kwa Ojiwa kunajiri takriban wiki moja baada ya mwanaharakati Caroline Mwatha kupotea kwa njia tatanishi […]

05/04/2019 / 0 Comments
read more

WAFANYIKAZI WA SHULE YA NAKURU HILLS WADAI KUDHULUMIWA, KUNYIMWA MSHAHARA MIEZI 8.

News/Habari

Wafanyikazi wa shule ya spesheli ya Nakuru Hills iliyoko eneo la London viungani mwa mji wa Nakuru  jana waliandamano wakilalamikia  kukandamizwa na kucheleweshwa kwa mishahara yao. Wafanyikazi hao   hawajapokea malipo yao ya tangia mwezi Agosti mwaka jana. Wakiongozwa na Tom Nandi wamelaumu usimamizi wa shule hiyo kwa kutojali maslahi ya wafanyikazi na kutaka wizara ya elimu […]

05/04/2019 / 0 Comments
read more

Umarkets реалные отзывы о брокере » TellTrue Говорим правду

Форекс Обучение

Содержание Брокер Golden Trade отзывы. ЛОХОТРОН! Не выводят деньги. goldentradelimited.com Отзывы ( Отзыв о Umarkets Reviews about FINANCE AND CURRENCY LIMITED (www.financeandcurrencylimmited.com) from traders Схема обмана Umarkets Для того, чтобы совершать финансовые сделки на таких платформах, надо иметь высшее финансовое образование и достаточный опыт работы в этой сфере, чего у меня, конечно, нет. Долго вел […]

18/03/2019 / 0 Comments
read more

Posts navigation

Previous 1 … 45 46
Royal Elementor Kit Theme by WP Royal.