Wakaazi wa eneo la Bobasi waliandamana asubuhi ya leo kulaumu hali mbovu ya barabara ya Kebuko-Nyangusu.
Wakaazi hao walisema tangia mwaka wa 2016 wakati rais uhuru kenyatta alizindua ujenzi wa barabara hiyo, hakuna kitu ambacho kimefanywa hadi wa sasa. Info hasSearch for an event by date or competitor and https://clickmiamibeach.com/ view all event info along with real-time odds.
Wanasema
usafiri mbovu umekwamisha maendeleo eneo hilo.
Leave a Comment