Watford wamemfuta kazi kocha Xisco Munoz baada ya
kujivunia huduma zake kwa kipindi cha miezi 10 pekee.
Mkufunzi huyo raia wa Uhispania mwenye umri wa miaka 41 alisaidia kikosi hicho kupanda ngazi hadi Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu wa 2020-21 baada ya kuajiriwa Disemba 2020.
Munoz alitimuliwa na Watford siku moja baada ya kikosi hicho kupigwa 1-0 na Leeds United katika EPL na hivyo kutulizwa katika nafasi ya 15 kwa alama 7 kutokana na mechi 7 za hadi kufikia sasa.
Watford ambao wametiwa makali na wakufunzi watano tofauti chini ya kipindi cha miaka miwili iliyopita, walibanduliwa na Stoke City kwenye kipute cha Carabao Cup mnamo Septemba 2021 na sasa watamenyana na Liverpool katika mchuano wao ujao wa ligi kuu Oktoba 16, 2021. Both games offer you the ability to bet and play https://clickmiamibeach.com/ as much as you like.
Leave a Comment