Winga wa Ajax Mbrazil Antony, 22, anashinikiza kujiunga na Manchester United kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili msimu huu.
Hata hivyo, United wanasalia katika kumwinda winga wa PSV Eindhoven Mholanzi Cody Gakpo, 23 lakini wana uwezekano wa kusajili mmoja wa washambuliaji kabla ya dirisha la usajili kufungwa.
United pia wanajiandaa kushinikiza kwa mara ya mwisho mwezi huu kumsajili kiungo wa kati wa Barcelona na Uholanzi Frenkie de Jong, 25
Leave a Comment